I.
MAFUNGU MATATU YANAYOFANANA MAANA ZAKE
§ Naye
atanena maneno kinyume chake aliye juu
,naye atawadhoofisha watakatifu wake
aliye juu naye ataazimu
kubadili majira na sheria nao watatiwa
mikononi mwake KWA WAKATI NA NYAKATI MBILI NA NUSU WAKATI.
DANIELI:
7:25,
§ Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo ana mahali
palipotengenezwa na Mungu, ili wamlishe huko MUDA WA SIKU ELFU NA MIA MBILI NA
SITINI UFUNUO: 12:6,
§ Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru.
Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake MIEZI AROBAINI NA MIWILI UFUNUO 13:5
II.
KUMBUKA SIKU MOJA KIUNABII HUWAKILISHA MWAKA
MMOJA EZEKIELI 4:6
III.
MAFUNGU MATATU DANIELI 7:25, UFUNUO 12:6,NA
UFUNUO 13:5 haya yote yana maana moja –huwakilisha siku 1260 sawa na miaka halisi 1260 jifunze kama
ifuatavyo
·
KWA WAKATI –Huwakilisha mwaka mmoja ambao
una siku 360 ,NYAKATI MBILI –Huwakilisha miaka miwili
ambao ni sawa na siku 720,NUSU
WAKATI-Huwakilisha
nusu mwaka ni sawa na siku 180 .Ukijumlisha siku hizo utapata siku 1260 (Danieli
7:25)
·
MUDA WA ELFU MBILI na mia mbili na sitini
ni sawa na siku halisi 1260 (ufunuo 12:6)
·
MIEZI AROBAINI NA MIWILI –Ni
sawa na siku 1260(yaani 42 mara 30) kumbuka mwezi halisi wa Mungu unasiku 30 tu
(ufunuo 13:5)
IV.
MAJINA YA MAKUFURU - Ni maneno ya kumtukana
Mungu, dini, unajisi,ukufuru,tamko au maneno ya ambayo ni kinyume na imani ya dini,dharau ya dini na
pia tendo la kudai sifa au mamlaka
ya Uungu
V.
HISTORIA FUPI YA ZAMA ZA GIZA
PEMBE
NDOGO ATAWADHOOFISHA WATAKATIFU WAKE ALIYE JUU
Wakati
wa zama za giza .ambao ulianza katika mwaka wa 538 BK (A.D) wakristo wapatao
millioni 50,000.000 KANISA LA KIRUMI NA
MADHEHEBU yake liliwatesa mpaka kufa .habari hii ya kuogofya ni
historia moja ya giza kabisa katika
historia ya mwanadamu .sasa tutumie maneno ya waandishi furani wa
historia
Kwamba
kanisa la Rumi limemwaga sana damu isiyo na hatia kuliko wakati wo wote ulioanzishwa uliokuwako zamani kati ya
wanadamu ,kwa mprostanti aliye na mjuzi wa historia hatakuwa
na shaka.soma kitabu cha LECKS “HISTORIA OF RATIONALISM
IN EUROPE.VOL,11,P.32
Mwanandishi wa kanisa la kirumi anasema hakika kanisa la kirumi limetesa…….miaka
mia na hamsini baada ya Constantine
wakrisro wa waafrika kaskazini (donatists) waliteswa
katika ufararansa na Spain kwa kibali
kamili cha kanisa soma “THE
WESTERN WATCHMAN DEC.24,1908
PAPA
MARTINI v (A.D.1417-1431A.D)
alitoa mafundisho haya yafuatayo kwa
mfalme wa Poland kwa sababu ya
wafuasi wa john huss ambao walikuwa wakristo wa kweli ifanye kazi ya
kuwakomesha wahusiti(“hussites)….geuza
uso wako juu ya wabohemia ,teketeza
,chinja ovyo ovyo wanaume na wanawake na watoto fanya mahame kila mahali…soma L.M.DE
CORNAMENIN,THE PUBLIC AND PRIVATE HISTORY OF POPE OF ROME,VOL 11.PP.116,117
VI.
ZAMA ZA
GIZA ZILIANZA LINI?
JE
UPAPA ULIENDELEA KWA MUDA GANI KATIKA MAMLAKA KUU KATIKA ULAYA?
Mfalme JUSTINIA wa ROMA alitoa amri
ya kuwa ASKOFU WA ROMA PAPA awe
ndiye MKUU WA MAKANISA yote .Amri
hii ilianza kutuimika A.D
538 wakati WA –ANIANI WA OSTROGOTHS
walipofukuzwa kutoka ROMA . walipofukuzwa kutoka Roma .katika mwaka huo
madaraka ya kidunia ya upapa
yalianza ambayo yaliendelea bila kupungua
katika mapambano ya miaka 1260 mpaka mwaka wa maangamizi A.D 1798 ambapo JEMADARI WA UFARANSA BERTHIER
ALIPOINGIA ROMA AKATANGAZA JAMHURU NA
KUMTEKA NYARA PAPA
VII.
WITO MUNGU ANAWATIA MOYO WAFUASI WAKE WAAMINIFU
KATIKA VIZAZI VYOTE
UFUNUO 12:11 Nao
wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao
hawakupenda maisha yao hata kufa.UFUNUO
2:10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu
gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata
kufa, nami nitakupa taji ya uzima
Mpendwa panga kutokosa somo linalofuata lilasema kwa nini MAREKANI NIA TAIFA LENYE NGUVU KUBWA
DUNIANI .
No comments:
Post a Comment